WIZARA YA ARDHI YAANZA KUTOA HUDUMA KATIKA MAONESHO YA SABASABA
Banda
la maonesho la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi likiwa
limeanza rasmi kutoa huduma katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu
Nyerere vya Sabasaba Dar es salaam.
Baadhi ya Wananchi wakipata maelezo ya huduma za mipango miji zinazosimamiwa na Wizara ya Ardhi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni