Sikukuu ya Eid Mubarak kuadhimishwa kesho baada ya kiashiria kinachoaminiwa kuwa kikionekana bhasi ndio sikukuu yenyewe inaadhimishwa kuonekana.maeneo mbalimbali ya nchini Tanzania .
Uthibitisho umetolewa na Mufti mkuu wa Tanzania Zubeir Bin Ally leo kuwa kesho ndio sikuu ya Eid Ull Fitri
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni